cindy mopao
Member
- Sep 5, 2015
- 54
- 24
Already got ma serious one!he is a long tym friend of mine not from jf and its almost a month now am in a serious relationship!no more replies,no more pm's!!
Thank u all!!
Thank u all!!
Cindy
Kwanini hutaki wafupi?
m sifa zote nnazo,elimu,mjasilia mali ila naish bush kwa sasa ad malengo yang yatimie ndo ntarud town,so kama upo tayar kuish chaka kwa sasa n pm
im very exciting! ! to read this post im marketing director at Nina co.ltd which is situated in denmark copenhagen and brached at Tanzania put out your cv and pc and contact I wil check it later. im 32 yrs old.body builder wide chest and hard muscles well come.
Sifa zote zipo ,isipokuwa hapo kwenye userious ndiyo nimekwama.... Sorry!
Haiwezekani mkuu unaanza tu mahusiano na mtu ukiwa serious hata hamfahamiani vizuri..... Dah! Hiyo ngumu aiseeeeh! Nimezoea kuanza mdogo mdogo , vikikolea ndiyo tunakubaliana kuingia ukurasa mwingine utakaohitaji useriousnessMkuu umenifanya nicheke sana!
Kwamba hujawahi kuwa serious ama neneeee?
Haiwezekani mkuu unaanza tu mahusiano na mtu ukiwa serious hata hamfahamiani vizuri..... Dah! Hiyo ngumu aiseeeeh! Nimezoea kuanza mdogo mdogo , vikikolea ndiyo tunakubaliana kuingia ukurasa mwingine utakaohitaji useriousness
Sababu mi mrefu!