Iam going Public as we a approach to 2014

kadoda11

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
21,453
Reaction score
20,757
wadau happy holidays..it's official,iam going public by beginning to use my own pic as an avatar.this is how my ID appears now.kuweni na mwaka mpya mwema wenye kheri na fanaka,ONE.


​
 

Attachments

  • 1003574_346032992202892_1815678088_n.jpg
    16.8 KB · Views: 312
Hii itakuwa njema, nami nitaweka japo ya bandia.
 
Mbona picha imekatika? Kichwa wapi?

Hahaha anza kuthaminisha vinavyoonekana kwanza, hebu anza na kifua halafu shuka taratibu chini...sura utaoneshwa baadayeeee!!!
 
Hahaha anza kuthaminisha vinavyoonekana kwanza, hebu anza na kifua halafu shuka taratibu chini...sura utaoneshwa baadayeeee!!!

Hahahahhahahah....alafu usije kuweka ya kwako shosti wangu atakuja kukukaba.....mambo ya tutabanana hapahapa hatupendi lol
 
Japo nusu mwili SI HABA!!!!!!!!! I guess i like what i see!
 
Nothing worth writing home about. A headless pic? Nah.
 
Mbona wengine tushaweka picha zetu kitambo..!??? good move though..!
 
Hiyo nguo yako ya juu yanikumbusha Big Mike wa kwenye movie ya The Blind Side ya Sandra Bullock.

mkuu huyo jamaa uliyemtaja hapo asije baadae akajilipua kama michael scofield wa prison break.cjui nitaweka wapi avatar yangu.nimekuwa muoga sana kutumia macelebrities as idols.lol
 
hivi wewe unajua maana ya sura?

ungeambiwa ujiweke in public ungeweka hivi?

au ndo passport yako hii?

katengenezee kitambulisho cha uraia uone sasa!!
 
Hahahah mimi hata sitaki kuweka yangu, labda sana nitaweka hiyo bodaboda tu...

Shosti yako sitaki kumtia kiroho papo akapata kisebusebu bure!!!

Hahahahhahahah....alafu usije kuweka ya kwako shosti wangu atakuja kukukaba.....mambo ya tutabanana hapahapa hatupendi lol
 
Hahaha kilichofanana na Big Mike ni hilo nguo ya juu tu maana naye ni mpenzi wa nguo za hivyo.

Halafu kama nakumbuka sijui ni wewe au kadoda mwingine ambaye miaka ya nyuma ashawahi kuweka full pic. [kama sijakosea mpo kadoda wawili hapa JF]

mkuu huyo jamaa uliyemtaja hapo asije baadae akajilipua kama michael scofield wa prison break.cjui nitaweka wapi avatar yangu.nimekuwa muoga sana kutumia macelebrities as idols.lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…