IAA WHAT'S WRONG

IAA WHAT'S WRONG

mayejif

Member
Joined
Jul 31, 2019
Posts
13
Reaction score
2
Waungwana kuna jamaa yangu nlimuombea vyuo(vyote alipata)kimojawapo ni chuo hiki sasa kilichelew kutoa majina ya first round wakasema watayaambatanisha na ya second selection cha ajabu majina yametoka na jina lake halipo na ukiwapigia cm wanasema kashakuwa admitted ktk chuo kingine na wakati hakukomfirm kokote until now eti wanamwambia akomfirm kimoja kisha akaombe uhamisho ahamie iaa
 
😂😂😂😂😂mimi dogo walimpigia simu kuwa asijali, amepata udahili chuoni hapo, hivyo jina lake litakuwepo second round fani ya IT, wakati huo huo alikuwa amepata na NIT fani hiyo hiyo. Nikamwambia dogo confirm hiko hiko NIT kilichotoa jina lako katika multiple selection. Hao wanaokupigia simu na kukwambia umepata, ila jina lako litaambatanishwa na wa second round, achana nao Hawapo serious
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom