Lugha ya malkia isikupe shida. Ni lugha kama Kizaramo au Kihaya. Napopata kichefuchefu ni pale nyie wasomi wenye shahada zenu mnapoandika Kiswahili cha ajabu. Mnaandika huyu mhadhili hana fadhiri. Au yule mtu aligongwa akaweza kufa. Aligongwa na roli.