Sitaki kukubeza
Babu wa Loliondo, pole sana mdogo wangu! Inaonekana mpaka umefikia hatua hii, utakuwa umetendwa vya kutosha na hawa mabinti wa siku hizi! Sidhani kama ni busara kukimbilia kwenye babyMamaz bila kujua sababu za nini kilikufanya mabinti wa rika lako wakutende kiasi hiko. Cha msingi, kaa chini zitafakari njia zako, mahusiano yako, namna unavyowasiliana na uwapendao, tabia zako kwao na kutafuta weakness zako. tatizo linaweza kuwa si la hao waliokutenda bali behavior na attitude zako kwao ndizo zinawaboa na wanaamua kukumwaga!
Fikiria na hili pia!