I WISH,Je,Nitapata??

Babu wa Loliondo

JF-Expert Member
Jan 31, 2012
323
105
Habari wanaJF,I wish ningekapa babyMamaz,kwa kweli maana nimechoka na hawa mademu wa kileo,wanasumbua sana!! BabyMamaz mpo jaman??
 
ndio umeona uje hapa mmu...hapa wasanii mia ishirini kidogo...wee kamatia huko huko mtaani mwana
 
Una maanisha nini? Unataka mtu wa kumchosha? Manake hPa.kujieleza tu umepata sifuri inayoelea majini.
 
Hahaha post zingine bwana na je ukipata babymamaz wa kileo utawish nini tena babybibi??
 
Sitaki kukubeza Babu wa Loliondo, pole sana mdogo wangu! Inaonekana mpaka umefikia hatua hii, utakuwa umetendwa vya kutosha na hawa mabinti wa siku hizi! Sidhani kama ni busara kukimbilia kwenye babyMamaz bila kujua sababu za nini kilikufanya mabinti wa rika lako wakutende kiasi hiko. Cha msingi, kaa chini zitafakari njia zako, mahusiano yako, namna unavyowasiliana na uwapendao, tabia zako kwao na kutafuta weakness zako. tatizo linaweza kuwa si la hao waliokutenda bali behavior na attitude zako kwao ndizo zinawaboa na wanaamua kukumwaga!
Fikiria na hili pia!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu HorsePower umesema vyema sana, Babu sina cha kuongeza apa, zaidi zingatia haya, pia ukumbuke unapashwa kuishi na mwanamke kwa akili nyingi kupita maelezo, Biblia inasema kutoka 1 Petro 3 :6 ''Kadhalika ninyi waume, kaeni na wake zenu kwa AKILI; na kumpa mke heshima, kama chombo kisicho na nguvu.........., kusudi kuomba kwenu kusizuiliwe'' kwa hiyo tunapashwa kuwa makini sana na wanawake, si wakuchukulia kirahisi rahisi au kuwadharau dharau, kumbuka pia wao wana ile organ ya 6 ya kuona mbele, ndio maana wadada wengi wako concerned sana na future ya atakaye muoa.

Sitaki kukubeza Babu wa Loliondo, pole sana mdogo wangu! Inaonekana mpaka umefikia hatua hii, utakuwa umetendwa vya kutosha na hawa mabinti wa siku hizi! Sidhani kama ni busara kukimbilia kwenye babyMamaz bila kujua sababu za nini kilikufanya mabinti wa rika lako wakutende kiasi hiko. Cha msingi, kaa chini zitafakari njia zako, mahusiano yako, namna unavyowasiliana na uwapendao, tabia zako kwao na kutafuta weakness zako. tatizo linaweza kuwa si la hao waliokutenda bali behavior na attitude zako kwao ndizo zinawaboa na wanaamua kukumwaga!
Fikiria na hili pia!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom