I wish I had a husband already

Pole sana,unachokitafuta utakipata!Huyu huyu Mungu ndiye aliyewaumba wafupi na akawaona wako vizuri,ndo huyu huyu unamuomba akupe warefu?!!!
Nakuonea huruma maana hujajua jinsi maumivu yanavyokuwa ukipata unayemdhania lakini akawa na tabia ambazo hujawahi kuzifikiria.
Pole kwa kuwa bado unaishi kwenye giza.Endelea kuwaza maisha ya tamthiliya za kifilipono.
 
Halafu baada ya ndoa unaleta ALFU LELA ULELA, HEKAYA ZA ABUNUASI, KALIKAMA KENGE ALIKATAA KWENDA SHULE, ESOPO,😃😃😃😃
 
Hivi mtu hana haki ya kuchagua anachokipenda? [emoji57]
 
how wise and lovely

congrats mkuu
 
wise

big up sis
 
Mademu bana utakuta yeye mwenye hana hata feature yoyote ya kuolewa halafu anaanza kuchagua chagua sijui warefu. Siku ukijikuta muda umepita utaolewa hadi na mbilikimo
 
Kuna mtu atapigwa hapa kipigo cha mbwa kokoko. Nasubiria mrejesho wa mtu aliyepigwa.
 
Ukiona hivo ulishapigwa mijeredi mpaka baasi!!
 
Sasa naanza kuingia ukakasi kuja katika platform ya mahusiano maana watu wanapost pumba za mtama kabisa
 
Au kwann usiende Star swahili/ mapenzi kizunguzungu pale hauwez kukosa, ukikosa nitafte nikuelekeze pengine
 
All the best umpate huyo future husband, but don't be too selective, mwishowe utaishia kumpata mrefu mwenye tabia mbayaa, wkt ulipangiwa mfupi mstaarabu.[emoji12]
Awe mfupi au mrefu hakuna wa kumuweza huyo, abda kama hujipendi, hiv wewe unafhan yeye ni mjinga kuleta tangazo lake hapa.
 
Wakipataga hayo yote wanajengekaga kitabia flani hivi ambacho wanaume hatubebagii... si umeona hata anavyojielezea hapo, sijui"my own car"my own house"my business".
Wanapataga pembe flani hivi, baya sana.
Tafuta pesa Brian...acha manenoo. Ukiwa na mshiko mwanamke mwenye 'my own car' hatokusumbua.
 
....I get approached with a lot of men but sijaona alienivutia wengi ni wafupi halafu mimi napenda wale walioenda hewani.....

Kila mtu ni mfupi na mrefu wakati huo huo. It all depends on your point of reference. Mr. Y may be shorter than Mr. Z but taller than Mr. X (or the other way around)!

Hao wafupi unaowasema ni wafupi kuliko nani au kigezo chako cha urefu ni futi ngapi? Please help me help you!
 
Tatizo unachagua mno bila kujua cku hizi wafupi ndo waoaji.[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…