I was lonely and YOU WERE THERE!!!

Kitu mapenzi kilianza zamani sana na pia mpaka leo bado tunafundishana namna ya kukienzi na bado hatupati solution, nafikiri huna sababu ya kusubiri miaka miwili au miezi sita cause once you set your eyes on him/her you'll always knows he/she is the one huna haja tena ya kusubiri na kuangalia alama za nyakati kila kitu kitakuja tu. Ahsante sana lizzy kwa thread nzuri naamini itafunza wengi sna.
 
Kitu mapenzi kilianza zamani sana na pia mpaka leo bado tunafundishana namna ya kukienzi na bado hatupati solution, nafikiri huna sababu ya kusubiri miaka miwili au miezi sita cause once you set your eyes on him/her you'll always knows he/she is the one huna haja tena ya kusubiri na kuangalia alama za nyakati kila kitu kitakuja tu.
Inabidi tuendelee kufundishana maana hata siku zinavyoenda mambo yanabadilika!Wengi waliangalia kwa macho wakadanganyika!Thnx nwy!
 
LIZZY mapenzi ni kitu kingine bana,unadhani kuna mwanamke anapenda kuwa open straight away kwa mwanaume???no bali akishapewa matumani na maneno matamu basi ndio inakuwaga hivyo......ila sio wanaume wote tupo hivyo....
 
kuna watu wakali katika timing. pale ambapo mrembo guard yake
ipo chini wao ndio wanastrike lol watu wa aina hii inabidi mabinti
wamuombe mola siku zote awaepushe nao.
 
Maneno matamu yenyewe unakuta ya kumuingiza mtu line tu...ukiyachekelea unakuja kulia mwenyewe!Kama mtu yupo pembeni hamna haja ya kumkimbiza...unaenda nae taratibu tu kama mnaelekea njia moja then mtafika pamoja!
 
kuna watu wakali katika timing. pale ambapo mrembo guard yake
ipo chini wao ndio wanastrike lol watu wa aina hii inabidi mabinti
wamuombe mola siku zote awaepushe nao.

Umeshasema ni wakali kwahiyo ni ngumu kuwaepuka!
 
Inaitwa "thinking on behalf of someone hiyo...." nimeipenda hii thread....mtu akishikwa tu katumbuka.....tuwe tunatulia kidogo....wengine tunaonyesha mapenzi bila hata kujijua.....l.o.l

mtaja kosa sasa wengine wapo makini ila wanapenda kitu @ 1st sight. we mpk uje ulete pozi tayari kampata mwingine unabak et ningejua
 
My wife
My beibe
My sweet
My honey
My love
My queen
My . . . .
 
My wife
My beibe
My sweet
My honey
My love
My queen
My . . . .

My hubby...my prince...my King...my MAN...my darling...my sweetie...my Babyyy...my love...SUGA SUGA!
 
hahahah mwanaume ni SIMBAA!!! Wewe mtu alijifanya mgum,jamaa akapeleka tipa la mchanga hme kwa mwanamke,cku inayofuata mafnd wakanza ukarabat wanamke akaona kapata na chup akavua,mwez kuiisha mapenz yakaenda likizo. Wanaumeeeeeeeeeeeeeeeeeee??????????????
 
Duh!Ni wewe nini?
 
My hubby...my prince...my King...my MAN...my darling...my sweetie...my Babyyy...my love...SUGA SUGA!
The Following User Says Thank You to Lizzy For This Useful Post:

CPU (Today)​
 
Back
Top Bottom