I want to know about this guys!!

I want to know about this guys!!

Issa hayola

Member
Joined
Feb 7, 2014
Posts
21
Reaction score
2
Habari zenu, jamani nahitaji kujua juu ya suala hili. Hivi ni kwani wasichana wengi huwa wanajiingiza ktk mahusiano ya kimapenzi wakiwa na umri mdogo? Na je, ni kwanini baadhi ya wavulana pia hujiingiza katika mahusiano na wakina mama waliowazidi umri?
 
Eeeeh! Wengi ukimaanisha wangapi?
Yani research yako ulifanya kutumia wasichana wangapi ukagundua kuwa wengi hujiingiza wakiwa na umri mdogo?

Na hiyo ya wavulana pia sample yako ilikua wavulana wangapi?
Umri mdogo ni miaka mingapi?
 
chips mayai.. kwenye engo zote!! as rushwa na vichocheo vya mwili
 
uuuuuuuupsi kzi kwelii kweli hiyo research yako cjui umechukua sample ya watoto wangapi hadi useme ni wengi

unauliza tna kwanin???

homoni zao hwa mabinti zpo tayari kwa kugegedwa kama wamevunja ungo na 8 yrs unategemea nni.....

hawa wavulana unaowaona watoto wanapendwa na wamama cos still ni baby wanahitaji kulelewa na wamama wawape pesa na upendo...kutongoza hawawezi na mapenzi yanahitaji akili,ujuzi na pesa na vyote hawana
 
Eeeeh! Wengi ukimaanisha wangapi?
Yani research yako ulifanya kutumia wasichana wangapi ukagundua kuwa wengi hujiingiza wakiwa na umri mdogo?

Na hiyo ya wavulana pia sample yako ilikua wavulana wangapi?
Umri mdogo ni miaka mingapi?

Sidhani kama mtu anahitaji kufanya utafiti wa kitaalam kung'amua huu ukweli. Hii kitu inaonekana dhahiri. Watoto wa kike wanaanza kujihusisha na ngono katika umri mdogo sana.
 
Umri mdogo mnamaanisha miaka mingapi?
 
Eeeeh! Wengi ukimaanisha wangapi?
Yani research yako ulifanya kutumia wasichana wangapi ukagundua kuwa wengi hujiingiza wakiwa na umri mdogo?

Na hiyo ya wavulana pia sample yako ilikua wavulana wangapi?
Umri mdogo ni miaka mingapi?

yan ushamaliza maswali yangu,,, mtoa mada njooo ujibu pls Issa hayola
 
Sidhani kama mtu anahitaji kufanya utafiti wa kitaalam kung'amua huu ukweli. Hii kitu inaonekana dhahiri. Watoto wa kike wanaanza kujihusisha na ngono katika umri mdogo sana.

wanajihusisha katika umri mdogo na kina nani kama partners wao c wababa watu wazima , swali liwe kwa nini wababa wanapenda kuwaanzisha mapenzi mabinti wadogo
 
attachment.php
 
Attachments

  • 3001.jpg
    3001.jpg
    75 KB · Views: 407
Habari zenu, jamani nahitaji kujua juu ya suala hili. Hivi ni kwani wasichana wengi huwa wanajiingiza ktk mahusiano ya kimapenzi wakiwa na umri mdogo? Na je, ni kwanini baadhi ya wavulana pia hujiingiza katika mahusiano na wakina mama waliowazidi umri?

hakuna cha kwanini? jibu ni tamaa ya pesa
 
Angalau miaka 11 nakuendelea...

Miaka kumi na moja huyo ata kubalehe haja balehe anaanzaje kujihusisha na mapenzi katika umri huo! Halafu hawa wasichana mnaosema umri mdogo nani anaowaingiza katika mapenzi kama si mibazaz ya mji!

Wakishua wanaweza salimika na haya mabazazi lakini wa huku uswazi ukimpa elfu tano, chipsi kuku anaona dili.
 
Habari zenu, jamani nahitaji kujua juu ya suala hili. Hivi ni kwani wasichana wengi huwa wanajiingiza ktk mahusiano ya kimapenzi wakiwa na umri mdogo? Na je, ni kwanini baadhi ya wavulana pia hujiingiza katika mahusiano na wakina mama waliowazidi umri?

Kuna namna nzuri sana ya kujua hili

Unaweza kuanza na hao wanaojiingiza kwenye mahusiano wakiwa wadogo

Kisha ukawafuata wale wanaowashawishi kuingia nao kwenye ngono

Utapata jibu tu!
 
Miaka kumi na moja huyo ata kubalehe haja balehe anaanzaje kujihusisha na mapenzi katika umri huo! Halafu hawa wasichana mnaosema umri mdogo nani anaowaingiza katika mapenzi kama si mibazaz ya mji!

Wakishua wanaweza salimika na haya mabazazi lakini wa huku uswazi ukimpa elfu tano, chipsi kuku anaona dili.

Kuna binti namfahamu alibalehe akiwa na miaka 9!
 
attachment.php
 
Attachments

  • 111.jpg
    111.jpg
    39.6 KB · Views: 287
Back
Top Bottom