I want to kill myself

I want to kill myself

Pole Mkuu. Muombe Mungu akupe nguvu na saburi.

Wafikirie wengine utakao waacha. Lkn yote kwa yote wacha maisha yaendelee iko siku utayafurahia..

Jipe moyo
 
Your gender please, if yo a woman pm me Asp kama uko boy na uko na mawazo iyo shame on you usifanye ivo hauko venye nA sida pekee ako dunia hii
 
Too tired for what ???
Mwenzio sijakula tokea juzi hapa nakomaa maisha na free basics,no body knows...
Maisha matamu we bwana wewe ohooooo hivyo vidole ulivyotumia kuandika ujinga wenzako wanatamani wangekuwa navyo wangevitumia kutafutia pesa
Huyo macho unayoyatumia kuangalia ujinga wenzako wanayatamani wangeyatumia kutafutia pesa
Hizo nguvu na akili unazotumia kufanya ujinga wenzako wanatamani wangekua na uwezo kama wako !!
Yani unajua kiinglishi hivyo alafu unataka kujiua mkuu usifanye hivyo bana..
Haya sema tatizo lako ili mchungu yote yapungue usikae na kitu kinachokutesa moyoni swa ndugu yangu
 
Stop rejectng urself, if u don't care for u selfe who elsii can do dat, lov ur life coz God love u til today, why ar u tyrng to stop the life that giv u. Kama uko na maumivu jifungiee room ulieee maumivu yataishaa then life iendeleee bt acha kujilamu acha kukataa tamaaa, maisha niyakooo chagua maamuziiii sahiiiii, commt succide is not da solution 4 ur problem, taulk to God al the time.
 
Back
Top Bottom