Aunty kemmy
Member
- Dec 13, 2013
- 46
- 23
Naomben ushaur wana MMU...kuna kaka nilisoma nae shule moja yeye alikuwa a-level mim nipo o-level..hakuwai kuonesha dalili ya kunipenda kabisa wala hatukuzoeana...sasa nikaja kumeet nae accidentally town baada ya miaka km mitano..akaniomba no yangu nikampa tukawa tunawasiliana kama marafik mara yy akaenda nje kusoma kwaiyo mawasiliano yakakatika..baada ya miaka miwil akarud akanitafuta facebuk akaniomba tena my no nkampa tukaendeleza communication. Sasa ndo akaniambia ananitaka and he asked me if i date someone nkamwambia ndio kuna mtu namdate lakin sio kwel nilimdanganya tu cna mtu ninayemdate kwa sasa..basi kaka wa watu akapunguza communications kabisa sio kama mwanzo..tatizo linakuja kwamba ss hv najisikia kumpenda sana na najuta kumjibu kuwa nina mtu wakat sio kwel...nishaurin nifanyeje ili nimpate maana nampenda kwel sasa..