SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,923
Kwa hiyo wewe unayeandika namna hii ndio una nini, University Transcript ama? Kama unayo basi itakuwa ya OUT. Mwenzio alipikwa pale Harvard Law School, wee kazana na misifa yako ya Kihaya aliyokurithisha Mama yako na endelea kupumbazwa na huyo mumeo kaburu by the time akili inakurudia utakuta Commander-In-Chief Barack Obama akipanda Air Force One kutoka Chicago kurudi White House kula kiapo kingine cha kuongoza nchi hadi 2016![/
Aliyekuambia Mimi Mujaya nani .unaprofile watu tu,kwani wahaya sio watu .
sour grapes!!!
Are you still feeling good, Natalie????????????????????????????My parents are conservatives,and I'm a conservative.Fiscal responsibility is the reason I voted
Huyu natalia anawasumbua akili zenu kumjadili, hatuna uhakika iwapo ana uraia wa marekani, waweza kuta ni shabiki tu kumbe mkaazi wa kiembe samaki zanzibar au namanyere nkasi. Aweke picha tupate authentic truth ya uraia wake.
Mwambie Natalie akamsaidie kazi Rush Limbaugh na Sean Hannity na Billy O'ReillyWhat's tantalizing me is that Republicans keep saying Gov doesn't create jobs..
Then why you blame obama if obama didn't..
Natalia, nakuonea huruma. Maana nahisi uko bendera fuata upepo. Absolutely no idea whatsoever the United States is going through.
But Obama will win. Not because he is black (mixed) no.. Because he dared challenges and Congress the Republicans have been always make this statement make him as one term president. And they never worked with him.
Mungu hamuachi mjaa wake
Kamsalimie RomneyIt's not about the color of the skin it's about character,experience and economy .i voted for Obama 2008 . Nyerere alisema Kama unapenda mtu kisa handsome kanywe nae beer.America have changed a lot angalia idadi ya watu wanauridi bongo.yaani it's sad and bad
It's not about the color of the skin it's about character,experience and economy .i voted for Obama 2008 . Nyerere alisema Kama unapenda mtu kisa handsome kanywe nae beer.America have changed a lot angalia idadi ya watu wanauridi bongo.yaani it's sad and bad
Are you still feeling good, Natalie????????????????????????????
My parents are conservatives,and I'm a conservative.Fiscal responsibility is the reason I voted
Stellah Stalisha mbona una hueleweki? ume vote kwa Romney, kwenye blog yako umeweka unashangilia ushindi wa obama.
hahaahah
Congrats Natalia...hope you feel great now.#Noooooot.My parents are conservatives,and I'm a conservative.Fiscal responsibility is the reason I voted
My parents are conservatives,and I'm a conservative.Fiscal responsibility is the reason I voted
My parents are conservatives,and I'm a conservative.Fiscal responsibility is the reason I voted
My parents are conservatives,and I'm a conservative.Fiscal responsibility is the reason I voted
kwi!kwi!USICHEZEE JF NI HATAR KWA AFYA YAKOStellah Stalisha mbona una hueleweki? ume vote kwa Romney, kwenye blog yako umeweka unashangilia ushindi wa obama.
hiyo blog inaitwaje mkuustellah stalisha mbona una hueleweki? Ume vote kwa romney, kwenye blog yako umeweka unashangilia ushindi wa obama.