I voted for Romney, I feel good

Wewe 3 branches of goverment hapa.supreme court ,congress na Obama .congress lazima ipitishe sera zake.na according to the poll republican tunachukua congress.we will block everything.
 
Hatutaki kusikia hawa Wamarekani mapandikizi wakishikia bango siasa zetu za Tanzania.

Last time I checked hatuna dual citizenship bado.

Mume wangu mzungu marekani watoto wangu wamarekani na Mimi raia wa USA na na Tanzania ni nchi yangu,naipenda tanzania kupita kiasi.naomba mungu wapitishe dual citizen ili wanangu wawe Raia .sisubiri siku hiyo ikifika hapo Tanzania watakapopitisha na wanangu wawe raia wa Tanzania
 

Nini mzungu, watu tushaona Wagagagigikoko wa antipodes huko wanaoelea juu ya maji ova hekaya za biblia. Na Wa Jep walio graduate University of Kumamoto.

Nenda Huffington Post na Daily Kos na Fox News kwa Wamarekani wenzako mkaongee mambo ya uchaguzi wenu wa Marekani.

Hii forum ya Watanzania utawaambia habari za unakaa Ohio wengine watafikiri unasema unajiuza usiku mtaa wa Ohio Dar.

This boldly bedlamite in a burgeoning burlesk begs to be bloody booed backstage.
 
Natalia lazima muhaya weye sio bure...unapenda mambo makubwa au kujikweza
 
Kweli watu wamechoka hivi kumbe mnamchagua Obama kwa kuwa ni mweusi Lol!!!hapo kweli hakuna watu so kwa maana hiyo hata kama mtu mweusi kafanya upuuzi mtampa tu kwa kuwa na nyie ni weusi Pumbavu kabisa.Chagua mtu kwa maendeleo mpe kura yako Mitt Romney uchumi ukue na sio Obama kuongea sana ati America inaomba usaidizi China lol Black people who voted for the colour shame on you.
Mie binafsi siko State lakini nafuatilia sana kila kitu na nimemkubali Romney ni jembe he know what Economy is.
 

No idea what you talking about.
 
Romney s just tiny stupid politician,
subiria ashinde uone ile self deportation itakuaje
 
There was another "Fiscal responsibility" Republican president who was in WH for 8 years...and the records don't lie when it comes to his wasteful spending.

What is a fsical responsiblity? Does this include spending more on the military even when they don't need the money? Does this include spending more on warships? Based on the graph below how fiscally responsible is Romney's plan?


 
 
Hatutaki kusikia hawa Wamarekani mapandikizi wakishikia bango siasa zetu za Tanzania.

Last time I checked hatuna dual citizenship bado.

This boldly bedlamite burgeoning burlesk begs to be booed backstage.

Asprin loves this post!
 
My parents are conservatives,and I'm a conservative.Fiscal responsibility is the reason I voted

i assume you're an african...could you tell me what ideas romney has about africa and the developing world?
 
ur first statement is ur parents are conservatives..so u voted for romney coz ur parents are republicans huh... u shud vote for what u believe in and not what ur parents blieve in. Colin Powell is republican but he voted for obama simply coz he doesnt trust romney and he doesnt trust his policies...
 

Unadhani utakuwepo huko milele? Rudini muijenge Tanzania. Hata Mitt hatawajengea mazingira ya kubaki huko
 
he he he, akyanani akili za mti bila mzizi ni hasara, bize segere la jirani wakti home hakuna hata maji ya kunywa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…