Habari wana JF.
Kama nilivyo waahidi last time kuwaleeteeni mrejesho baada ya kwenda kumtembelea mchuchu wangu bila taarifa baada ya kuhic kunakitu kinaendelea. Namshukuru Mungu nilifika salama majira ya saa tatu usiku. Kabla ya kuondoka nilikuwa nikiwasiliana nae na aliniambia yupo home. Nilipo wasili nilifanya mpango watumbo kwanza then nikatimba maguu kwake na ndipo nilikuta hewa! Nilimpigia simu na kumwomba anigungulie mlango. Hakuamini alijua namtania. Baada yakujua nikweli aliniambia ukweli kwamba yupo kwa rafiki yake wa kike ambae namjua. Ni distance walking distance kutoka anapoishi.
Nilimwuliza kwann alinidanganya akanipa sababu mbalimbali zisizo na msingi na nilipotezea. Siku zote njia ya mwongo ni fupi, the next morning wakati akijiandaa kuelekea kazini nilitaka kumsaidia kuweka vitu kwenye pochi yake nikaona binti amekuwa mkali na hataki nishike pochi yake .......lol kumbe kilikuwa na maganda ya comdom yaliyotumika. Kiukweli alinidisapoint kwakiasi kikubwa sana. Nilitamani niondoke asubuhi ile ile but nilishindwa nilishakata return ticket nahaibadilishwi....still nilitaka kujua what happened.........mwisho ya yote aliadmite kwamba alinicheat na anaomba msamaha..... Kiukweli nampenda sana but sina imani nae tena na ninamshukuru Mungu kwa kunionyesha nipo na mwanamke wa aina gani! Na amini mawazo yenu yanaweza kuwa msaada mkubwa sana kutoka kwa wana jf. Je niachane na huyu binti au nimsamehe? Nawasilisha.
Huyo mrembo wako siyo mwaminifu kwako kabisa, anawaendesha wewe pamoja na huyo jamaa mwingine kwa pamoja, na pengine kuna wa 3 au wa 4!! Anawachuna wote kila mtu kwa wakati wake, na kwa kuwa ww uko mbali, then unampa chansi ya kumchuna aliye karibu. Achana naye mapema, ndugu kumbuka "...tuko wangapi?..." Epusha shari mapema, anza kutafuta mwingine
Msamehe lol.
Usiende kufumania kama hauna maamuzi baba.
Nimemsamehe mkuu but no more future. Sasa nitamtumia kama kifaaa😀
Msamehe lol.
Usiende kufumania kama hauna maamuzi baba.
mimi story nyingine huku mmu sijui kwanini inaniwia vigumu sana kuamini moja kwa moja!anyway!pole
Thanks. But trust me thats fact na sasa nasubiria hapa usafiri nirudi daslam.
kumtumia haitokusaidia chochote kikubwa utakuwa una hatarisha maisha yako,ukiisi si material kwako ni bora ukaachana nae..