6By6 Miguno
Member
- Apr 20, 2025
- 75
- 107
Nilikuwa kama vijana wengine,
Nikifurahia kutongoza wanawake tofautitofauti nikiwa na lengo la hit and run pengine🤷🏾♂️
Baada ya kujitambua na kujua kuhusu magonjwa na effects za kusex na different chicks nikaamua kubadilika
Ugumu kwangu ukawa kudate na chicks zaidi ya mmoja maana hata hivyo nisingeweza kuficha ingekuwa rahisi kudakwa,
So nilipoamua ku-sattle na mmoja nilihakikisha naachana na ku-chase wengine.
I got this chick named Merry, Merry hakuwa mzuri kisura hakuendana nami, Lakini moyo wangu ulikwama kwake nikamenya chungwa, akanifunza ku-play kama real man Nikamaster, Marry akanifanya nikaachana na maisha ya usela na looking za ujana nikaweka kando.
Na ndoto za kupigania kuwa msanii kama Nasib Abdul nikaziua kwa sababu Merry alidai sipaswi kuwa na maisha yale kwani nafaa kuwa na maisha ya mwanaume mpambanaji kwenye familia kwani ndo furaha yake na kuwa hakupenda ninavyotumia usiku wangu studio nikiumwa mbu badala ya ubavuni kwake tuki-pillow talk.
Nilimsikiliza Merry nikadata sana, Kwani ni mwanamke alienifanya maisha yangu ya kujitegemea kwenye gheto langu yakawa kwa haraka, Nikaachana na maisha maghetoni na masela, Nikashangaa ghafla tunaishi pamoja nae kabla hata sijamvisha shela.
Nilimuamini sana tukaaminiana, Japo mwanzoni alitia shaka kwa kuhisi me bado player na pengine nimepanga kumchezea.
Alionesha kunidadisi mienendo yangu kutaka kujua kuwa kama ananiwin yeye peke yake, Sura yangu na muonekano vilimpa shida kuamini kama yeye ndo anaenipa shida.
Miaka ikaenda,
Alithibitisha kwa kuona wivu, Pale na mimi Nilipoanza kuonesha kuumizwa nilipohisi anacheat na wengine, Nikapoteza thamani yangu kwani akaamini kuwa simtoshi tena kwenye moyo wake… Kwani sasa sio yeye agopae kunipoteza bali mimi.
3yrs later
Sijui alinifanya nini ikafika muda ambao nilihisi upungufu bila yeye, Hata sasa alipoanza kunicheat yeye licha ya maumivu nilishindwa kuachana nae, Hata baada ya kuomba misamaha yake feki still nilizidi kumdaka na vimeo.
Ikafika muda nikagundua kuwa yalikuwa mapenzi ya utoto na ameshakuwa, Baada ya kupendwa na mimi kwa amani amenawiri na sasa wenye magari wanamtaka sana, Nilivumilia kuona vioja wakati Merry anarudi vitu vya thamani kwenye mkoba.
Nikajikuta napoteza amani ya moyo nyumbani vita, Baada ya kuchoka na kusamehe leo kesho anarudia, Maisha ya u-slay queen yakamvutia Merry akaanza kujitenga na mimi kimyakimya… Niligundua hili baada ya kufuma ujumbe wake na mchepuko wake, Ambae ni mzungu na dola zake, Wakiwa wanajipanga kuandaa nyumba ili aniache anihame nibaki lonely (mpweke)
Sifichi niliumia sana siku moja hakurudi nililia usiku kucha, aliporudi nikaforce simu yake kutaka kujua nini kinaendelea ndipo nikagundua usiku mzima ameishindia 🍆
Messages hazikuwa za kuvukilika, Nikasoma kwa sauti nikisononeka kwani sikuona jitihada za mzungu kwake bali niliona Merry akijirahisisha, Mzungu alipoomba picha merry alituma video, Pengine nisingeziona leo wakati huo hakukuwa na view once, Nilichokiona niligundua unaweza ukaamini unaishi na mlokole kumbe unadate na slut yenye nyota tano.
Niliamua sasa bora iwe mwisho, Tukaachana nikiwa sijaachia ila nikajikaza mno, Nikamove on.
3yrs now toka tuachane na nimeshindwa kudate na mwanamke mwingine, Nimepoteza interest na ku-sattle… Nimekuwa sababu ya kuwaumiza wengine, Sio kisasi bali mood tu, Siamini tena hawa viumbe.
Problem is now navutia wengi lakini hawanivutii, wengine waonesha kunipenda me siwapendi, Hata wengine wakinionesha sifa zote me sifagilii, Na hata akiwa mrembo vipi sikuangalii, Nimeshapewa michezo na wengine na imekuwa ngumu kubadili mtazamo wangu kuhusu kusettle , Sio kisasi bali ni hisia zangu tuu.
Muda unakwenda na nazidi kuwa high value man, Ambae hana mke na hayupo interested na hayo mambo, Na kila nikihisi ni tatizo nafsi yangu inaniambia bora peace kuliko pisi… Nahisi shangwe.