Hao wanaokwambia funguka tu bila ya kukumbusha athari za tindi kali :lol:
Hahaha kumbe ehhh?
Basi kwanzia sasa hivi napiga kimya kimya.
Gaijin....Kuna mtu anategwa.....
Naomba niwe mwekahazina...Hahaha unapenda shughuli wewe. . .
Mchango utatoa?
Naomba niwe mwekahazina...
Nasubiri TF amalize kutuletea zile biya moja moja alizokwapua jana afu tuvunje kamati...lol.SL hujamaliza kutoa taarifa ya ile shughuli nyingine wadakia hii
Gaijin we mbaya sana....umeachaje uzi ukanipita hivi?...bht nae kapitwa kama mimi?Hao wanaokwambia funguka tu bila ya kukumbusha athari za tindi kali :lol:
Sikubali...We maswala ya jikoni.
We kakondoo nawe. .
Sikubali...
Nimeshindwa kwa sababu namstahi sana huyo gentleman
Hahaha unapenda shughuli wewe. . .
Mchango utatoa?