Sio kila occasion doto ni baadhi tu. Hiyo nimeangalia kwenye music library yangu sinayo lakini nitakutafutia 🙂 labda nitaipata 🙂. Msalimie Kurwa mwambie namtakia weekend njema.
mmh!! bado hujanishawishi....Maana ya kuandika pale "By Lizzy" ni kwamba nimeandika/tunga mimi na sio nimecopy. . . that's not my style!!
ngoja nitizame mechi kwanza.nitakujia baade.najua hukubari kushindwa:biggrin:Kwani nilisema nakukushawishi?
Make use of your internet and knowledge if you have any.
ngoja nitizame mechi kwanza.nitakujia baade.najua hukubari kushindwa:biggrin:
naona umeleta mada mpya enhee....Aliyesema nashindana ni nani? Wakushindana nae mwenyewe simuoni.
Nwy kukusaidia, siku hizi ukisoma kitu ukataka kujua chanzo ni kiasi cha kugoogle tu. . . ndio maana hata humu watu hua wanakua busted kwa kuacha kuacknowledge source.
The green light can be my witness, am waiting for someone to say 'am ready to go right now'....lol!!
Lizzy,i think i .............wewe!!!!!!!!
Bishanga acha kuvunga sema tu kaka!
halafu unishushue? Lol, hafunguki mtu hapa! Bora nife na tai shingoni!Embu funguka. . .
Embu funguka. . .
Jamani i'm here waiting
lo! Kesho yake mbona ulinishushia misifa kibao na maua juu? Acha wivu bana,YOUR TIME IS OVER,nasonga mbele.afunguke akati hana mlango wala pazia
yuko wazi tayari
mchukue tu, mie nlimuonja
yuko kama matembele
Hhhhmmm. . . haya.