I think i am in love!

Love never look at religion , never consider urself a loser you are going in the right direction....yan hyo kukujbu kuwa atakutafuta ukiingizia mapenzi means hawezi kataa inabidi utumie uanaume umbane vzuri ataelewa tu....good lucky
 
Hahahahaha! Nimependa mstari huo eti Vitu asivyo vipenda kwa wanaume na me ndo vinavyovifanya. Duuu mikasa kama hii iliwahi kunitoroshea njiwa(demu) wangu mpaka nikahisi sina bahati . Mkuu tumia akili ya kimahesabu bira kusahau hata njia /kanuni moja sawa boss wangu
 
Unashindwa vipi kuact hata miezi 2 ....... kesho tinga kanisani atafurahi na ukaribu wenu utaongezeka saana !!!!!
Vitu vidogo vidogo kama hivyo unatakiwa ujiripue tuu kwani we si ndo unamtaka mtoto, nini kwenda kanisani wenzio wanaimbishwa kwaya kabisa


Wanaume poleni sana !! Hahaha
 
Aisee ulivyomuelezea ni kama ninamjua kabisa yani!!!!


ONYO: Ndugu yangu, unatumika! Niliposoma tu hapo kwenye YUPO KWENYE COMPLICATED RELATIONSHIP kengele ya kumbukumbu imenijia. Kuwa makini sana na wanawake walio kwenye complicated relationships. Mara nyingi tumezoea kuwapa kina dada ushauri huu kwa kuwa mwanaume akishamtamkia hivyo anaingiwa na huruma. Anajiona superwoman atamsaidia, akishamegwa anaambiwa wamerudiana.

It applies the same kwa wanawake. Na wanawake wanaumiza zaidi maana wanafyonza emotion kutoka kwako. Mara nyingi wa hivyo hawahitaji pesa, wanahita muda wako, upendo wa hisia tu maana ndio anaoukosa kwa mwenzake.

Nisirefushe sana..umenikumbusha mbali...mpaka nimehisi ninamjua.

Rejea: Mimi ni Polisi: My Muiseke Nyamughe
 
Nasikitika kusema uko sahihi kabisa.
Wanawake wanaweza kukufanya emotional cushion vibaya kweli. Hata for 10 yrs, ukisubiria Mkono udondoke.

Hivi pale msalabani si tuliambiwa hatujui tutendalo?

Salamu zako kutoka hapa kaka.
 
Unachelewa saaana mkuu, hujui kufanya Kampeni? we anza kwenda church, ibada zote upo tu, kwayani huko upoooo, ibada za vijana sijui front line, kusoma soma neno sijui hukosi FANYA KAMPENI YENYE SPEED 120.. ongea lugha yeye anayotaka mjaaaaze mjazeee
 
Hongera... Ni wa mkoa gani... Wilaya gani... Tarafa gani... Kata gani.... Na kitongoji/mtaa/kijiji gani... Niambie nikusaidie kumwambia kuwa unampenda
 
Binti amekupenda asingeweza kukutana nawe mara mbili. Angependa ufuate dini kwa undani. Muambie esp. kama una malengo nae marefu.
 
dah! mlokole yuko kwenye complicated relation halafu katika sababu zinazosababisha tatizo kwenye uhusiano hajataja kuombwa mzigo! hapo unaweza ukawa unaingizwa kingi tu.

achana na kuchat mueleze ukweli uso kwa uso, akikutolea nje ni poa pia maana utajua anauoangalia vipi uhusiano wenu. hayo mambo ya kuteseka na kudhani mwanadada atakuelewa kwa kuchat acahana nayo.
 
Sawa boss
 
cha kufanya jifanye kumjali sana hata kiuwongo uwongo... uwe unamcheki kila muda kama umebandika maharage vile... vihela vidogo dogo mpe... ndani ya mwezi asipoeleweka achana nae...!!!
 
Utaugulia maumivu mpaka lini?
Onyesha kwamba wewe ni dume bana, Wewe siyo wa kwanza kukataliwa, Funguka kwake hiyo ni kama kamari. Akikukataa utakuwa umeushusha mzigo maana nafsi imelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…