Ehee Mungu nisamehee.
Kuna sister moja nilitafuna huko kanda ya kati miaka ya nyuma. Mwezi ulio pita nimepata barua yake yenye maneno mazuri ndani yake kaniwekea mavuzi yake.
Ehee Mungu nisamehee.
Kuna sister moja nilitafuna huko kanda ya kati miaka ya nyuma. Mwezi ulio pita nimepata barua yake yenye maneno mazuri ndani yake kaniwekea mavuzi yake.
Hahahahahahaaaa!
Nimependa hii!
Lakini Mkuu si ungegongea msumali ktk signature yako!!!
Haki ya nani nö 1 wako mzuli Mmwe!
Nakushangaa ukisua-sua na kisister!
Sa mi ningekutonzoza ingekuwaze sasa?
...
Kama vipi mdogo naye ni sister, unaonaje tukibadilisha? Yaani mimi nikupe sister uache kuhangaika wewe unipe huyo nö 1 wako!!!!! Yap!
No! Kaizer
Ujana una mambo sana, mpaka kumpata aikuwa kazi rahisi sababu mimi siyo muumini wa dhehebu ilo. Ilinibidi nitengeneze urafiki na father kwanza kuomba kujifunza kazi za ufundi.