Mmmmmhh!! Hebu acheni kuwaingiza kwenye majaribu hao watu walio jitolea kufanya kazi ya Mungu, na wenyewe wana hisia kama sisi atii, basi tu wanakomaa kimtindo
Hhaaa nicheke Heaven mie.........Number one akijua.....na atajua kweliii naona unataka kutafuta number 2
number one unaona hatosh lol ......halafu huyo si sister na hayomambo si hawaruhusiwagi sa
mbona kama ana kuentertain vile
dah...unani inspaya...kumbe hawa masista na wenyewe wamo
yani sometimes ananipigia simu mwenyewe
majaribu si anayataka mwenyewe
basiiiii
niliwahi ku confess kwenye thread moja hapa kuwa kuna nun (sister) mmoja kwenye hospitali (jina kampuni) moja hivi kubwa tu ya dini kwa kweli shez driving me insane.
yani mara ya kwanza nilizani it is just a crush but naona kama kidole mimi naanza kuzama kidogo kidogo mana sister hanitok kichwani.
Nilwah kufanya kazi kwenye hyo hospital on temporary basis tukazoeana tuka badilisha na number za simu
kidole mimi hata sikuchelewa nikamwagia sera kuwa namzimia hatari cha ajabu nilitegema mshtuko wa kufa mtu kutoka kwa sister but wapi sister calmly akanambia si unajua mimi ni sister and its against taratibu za dini yetu?
Jibu niliompa ni kwamba feeling zangu kwake its outta control
tulikuwa na mazoea ya kukutana na kupiga story sister aka kata mawasiliano baada ya mimi kufunguka.
Ikapita miezi mingi tu bila mawasiliano hivi majuzi mungu si athumani tuka kutana mbeya kwenye semina flani
kidole mimi nikakumbushia sister akanambia alimiss story zangu na angependa tuendelee na story tu kula kwa mrs kidole nika kubali( agree to disagree)
siku hizi twaongea kwenye simu tu niko mkoa mwingine na yeye yuko mwingine
twaongea kila stuff( u know what i mean) sometimez na shindwa kumwelewa sister naona kma stak nataka.
Uuwii number one akijua sijui itakuwaje

haha number one hajui kiswahili na kumhisi sister ngumu sometimes naongea mbele yake akiuliza namwambia sister huyo anakuwa mpole
mmh, watumishi wa mungu mambo yamewafika shingoni
we acha tu, hata ile hofu ya Mungu hawana tena.. Zamani nilikuwa nawaheshimu sana na kuwaogopa juu lakini sikuhizi nawaona washkaji tu!
Mungu anisamehe!!!
yani sometimes ananipigia simu mwenyewe
majaribu si anayataka mwenyewe