I swear, Sio mimi

kama kuna waziri aliwahi kumaliza mhula wake na raisi kwa kipindi cha miaka 5 madarakani kwenye wizara hii hasa kuanzia awamu ya 4&4 basi anabahati sana.

wizara hii nadhani inaongoza kwa kubadilishiwa mawaziri. So mh Lugola hongera na ukitoboa kwenye wizara hii hakuna wizara itakushinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…