Baby k
JF-Expert Member
- Jan 2, 2013
- 320
- 125
Mboqwe ni zaidi ya Mbowe Freeman
wew subiri yule mwenye kifafa ashindwe ndo kengeza litakapokuwa macho yote
Mboqwe ni zaidi ya Mbowe Freeman
Ipo siku mtagundua kuwa Mbowe ameua upinzani nchini kwa kukaribisha magamba na kuyapa upendeleo wa kugombea nafasi mbalimbali kwenye chama kilichojijengea sifa kubwa kupiga vita ufisadi,ajenda ambayo hakuna anayethubutu kuitamka kwenye majukwaa ya ukawa
One day my Brother, Mr Freeman Mbowe will be the President of URT
Wewe ndio chai, unajua maana ya elimu? tena mpaka kwa wakulima na wafugaji? unajua maana ya kupunguza kodi ? unajua maana kubadilika ki fikra ( kufanya mambo tofauti kwa mawazo tofauti)Kwa hiyo ikija CDM ndo itajaza dawa mahospitalini,watu wataacha kufa, tutakunywa maziwa badala ya maji, nyumba za nyasi hazitakuwepo sababu CDM watagawa bati na vigae kwa watu wote huo ni uwenzawazimu wa kuwaza hivyo. maisha yatabaki palepele sana sana utabaki kujuta tu.nchi hizi za kiafrika zitabaki kuwa vibaraka wa nchi za magharibi na ulaya na asia tu hata ufanye nini.nitajie nchi ya kiafrika ilikuwa na vyama vingi na uchumi wake kwa kufanya mabadiliko umeimarika.