I salute you Mbowe, nasema I salute you Mbowe again. You a really comander if not a comandor. wewe ni camander zaidi ya wenye taruma ya kuwa makamander. Mbowe nimekukubali, na daima nitakuwa nyuma yako. Sikutegemea mbowe ungeendelea kusonga mbele, mbele ya masahibu na hila za kuua upinzani. Slaa aliye kuwa alama ya ukombozi, mshauri wako mkuu, mtu uliyemheshimu na kuweka imani yako kwake, leo kayafanya haya. Nilidhani ungeyumba lakini ahsante Mungu wa Mbinguni hukuyumba. Mbowe wewe ni kweli ni kamander. Ufahamu tumaini la wanyonge limebaki kwako. Nipo nyuma yako kokote uendako. VIVA Mbowe! may God of heaven bless you with safe and long life!