Marire binadamu ndio kagundua silaha, lengo kuu kwa wakati huo ilikuwa ni kwa ajili ya kujilinda na wanyama na kuwindia kwa ajili ya kitoweo lakini polepole na tararibu chuki, hila, wivu, kijicho, choyo na rohombaya vikatamalaki, silaha zikaboreshwa badala ya kuulia wanyama ikawa sasa nikwa ajili ya kuteketeza roho za wengine! Ukisoma habari za Kaini na Abeli katika Bible waweza pata picha kamili
Haya maboresho yote yanayofanywa kwenye silaha ni kwa ajili za kuteketeza roho za wengine
Remote huangaliagi taarifa za habari za kimataifa? Husomagi magazeti yenye habari za kimataifa? Hufuatiliagi biashara kubwakubwa za kimataifa? Hili sio jambo la mtandaoni tu
Remote hili hapana hauko sahihi hebu jaribu kupost huo ujinga wako tuone itakuwaje!!! Usiniambie hufuatilii middle east crisis, wala international politics wala international relations ishu ya ISIS kupata support ya marekani mbona iko live mitandaoni na kwenye vyombo vya habari vya kimataifa? Ishu ya Saudi kuwa na mkono wake ndani ya ISIS mbona inaongelewa sana?