United States of America USA
United States of America USA
Zile silaha walizonunua Saudi Arabia za mamilion ya dola toka states ndio hizo wanazotumia ISIS kwasasa
.... prove
Ingia mtandaoni you can get a load of the whole thing
Tusichoshane hapa sio debate room, nimekupa njia nyepesi ya kuweza kupoza kiu yako kama haiwezekani basi
Its a known fact. Au kuna kiwanda cha silaha uarabuni? Mataifa yanayoongoza kwa kitengeneza silaha ni usa,israel,china, russia na zote zinajulikana aina.
Hapa ni debate room huwezi kuja na ujinga wako kutulisha habari kama mazuzu utegemee tusihoji.
Kama unashindwa kutetea hoja basi usipost kitu hapa wewe level yako ni ya facebook, hapa tunahoji na kudadisi kila kitu.
Zile silaha walizonunua Saudi Arabia za mamilion ya dola toka states ndio hizo wanazotumia ISIS kwasasa
Ingia mtandaoni you can get a load of the whole thing