Sijawahiiii wangu wathungu wanasema golden chance never Kum twice haya
Limoyo limemdondokea ghafla
Shouger kupendwa raha...mwekundu alisema Nina nyota ya kupendwa kama chips heheee
waongo trust me
Aahhhhh hongera mama mie mwenyewe natafuta wa kunidekea lols dekaaaaaa mpenzi
yummy you are always cute hny baridi ya mahaba nipe pills
you are more wify tena home nakuwekea boutique na cosmetics room yani ni wewe acha niteseke nikutaftie we ndo ubavu wangu nakupenda mke wangu
Hii ndoa ni batili hakuna aliye kaguliwa kati yenu.
Mtende na wewe tulizana tu utapata humu wakukudondokea