Hili ni suala la kuzinggatia sana ambalo wengi wetu tunalipuuzahuku wataalam huko Hong Kong wakionya watu kuto tumia vifaa vyovyote vya umeme vikiwa kwenye charge (umeme)
Nimepata somo, kuanzia sasa marufuku kutumia simu iliyo kwenye umeme
mbona munaogopa kufa nyie.??. Ivi unajua kilichomuua mwenzio si lazma kikuuwe na wewe tu. Basi tu ni siku zikifika hata ukiwa unatembea utajikwaa kwenye jiwe na kufa hapo hapoNimepata somo, kuanzia sasa marufuku kutumia simu iliyo kwenye umeme
Hii habari imeripotiwa sehemu nyingi. Mimi sio kama napingana nayo ila nimebaki na maswali luluki. Ninavyoelewa process ya kuchaji simu (iphone) ni kuwa kutoka kwenye soketi ya umeme kwenda kwenye chaja inaingia AC (alternating current ie 240 volts, 13 amps) na kutoka kwenye chaja kwenda simu inaingia DC (direct current ie 5 volts, 1.0 amps 5 watts). Sasa nimejiuliza: Alikufa kwasababu charger ilikuwa mbovu (haipunguzi umeme na ukawa unakwenda direct kwenye simu) au vingine? Kama jibu ni ndio, basi hata kama asingetumia simu, itakapojaa akaishika kutoa kwenye charger si angekufa tu? Nimepata mkanyiko naomba mwenye maelezo ya kitaalam atoe!
kama umeme ulikuwa haupunguzwi cha kwanza simu ingeungua, nadhani kulikuwa na tatizo la continuity ya earthing kwenye Installation na hiki ndicho kilichomsababishia umauti.
tatizo watu sijui ni hatujipendi au ni kuwa na mioyo migumu ya kuelewa mpaka tudhurike
Nimekoma mara moja !sikufichi mie ni mmojawapo wa wenye kufanya hivi !duh nimetetemekaje?Hili ni suala la kuzinggatia sana ambalo wengi wetu tunalipuuza
Ana maanisha shaver zenye batery za kuchaji mkuu! tubadilike tu tuache ubishi mwanangu!Mimi nakubali kutokubaliana na huyo prof. wa Kichina eti tuepuke kutumia vifaa vikiwa vimechomekwa kwenye umeme na akatolea mfano shaver! Sasa utanyoaje bila kuweka kwenye umeme? INa maana anataka tuachane na mashine za HOME CUT?!!
Hapo nimekupata mkuu! Ila kwa simu hiyo ni noma sana, nilisikia kuna mwingine yeye alilipukiwa kimchina chake kilikuwa kwenye charger akaongea nacho muda mrefu wakamkuta hajitambui maana lilipuka kama bomu sikio lote kwao! Kupeleka hospitali jamaa wakapitiliza naye kwenda mortuary!!!Ana maanisha shaver zenye batery za kuchaji mkuu! tubadilike tu tuache ubishi mwanangu!