nunuwa yangu kaka...iphone 4...ipo vizuri kabisa, nime tumia miezi minne 25k!.
nitafute kwenye 0767-174757 upate home button mpya..Poa mkuu bonna ngoja nicheki huo utaratibu wako
tumia assistive Touch kwa muda mpaka hapo utakapotatua tatizo lake.. Nenda Settings-General-Accessibility-Assistive Touch weka 'On'..I phone yangu imeharibika home button haifanyi kazi kabisa, nitafanyaje wadau iwe katika hali yake ya kawaida?