miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,802
- 49,109
leo sikutekenyi ila baby si unajua napenda mchezo wa kuchezea nywele za kifuani mwako na ndevu zako kuzikuna kuna .. ukininyima hilo siwezi kulala na unajua kabisa .. leo ujikaze tu babynjoo basi kifuani upumzike... nakuona hata mimi umechoka sana... sema ukinitekenya umeharibu..!!!