i need time watcher

hp4510

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
9,015
Reaction score
10,040
wakuu mambo vipi? naitaji time watcher kwa ajili ya computer kwenye internet cafe yangu........ nimejaribu kutafuta google but sijapata.. any msaada plsaa
 
nilikuwa na setup yake ila niliifuta, ila waweza kutumia alternative, easily customizable cyber cafe softwares, zipo kibao nzuuri tu
 
mie ninayo nzuri yenye admi n na client wapi upo?
 
weka contact nikutafute tufanye biashara
 
hata time watcher mnataka kumchaji wakati nyie mmedownload illeagal copies, ukipata bure share bure, unless umenunua
 
hata time watcher mnataka kumchaji wakati nyie mmedownload illeagal copies, ukipata bure share bure, unless umenunua


umeona eh mkuu. huwa nawachoka sana watu wanaopakua za bure halafu wao wanadai kuuza. hp4510 kama upo dar nishtue nikupitizie timewatcher 5.11 na crack yake, kama hupo, ni sawa pia, nitaa upload humu humu JF
 
Last edited by a moderator:
polle mdau ulipata ile time wacher? Nambie ukowapi ili nkupe wala 2sifanye biashara mkuu tusha saidiwa sana hapa jukwaani na wadau tena bure tu kwa nini mie nifanye biashara nijuze tu upo wapi then 9ijue ntakupaje tena inaweza kucontrol computer zote kwa kutumia admin tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…