baba Moses
Senior Member
- Dec 7, 2017
- 100
- 80
Na ni kweli kuwa na kiongozi wa kudumu kunatuwezesha nchi nzima kufanya kazi kwa kila mtu katika fani na wito wake.
So kutatuwezesha kuwa kuwa na fikra kuwa tunae kiongozi basi kila mtu anaenda kuonesha kipaji chake alicho jaliwa na mwenyezi mungu.
Hii inaepusha kupunguza ma genge ya siasa na mwisho watu kujikita katika shughuli za maendeleo.
Maana kuwa raisi akibaki madarakani na akitoka madarakani still maisha yake yatakuwa ni yale yale tofauti kidogo tuu kama alivyo kuwa madarakani so tunazalisha kazi wenyewe kuhudumia marihisi wa staafu.
Vijana wamepoteza mwelekeo kwa kudhania siasa ni bora kuliko kitu kingine hapa nchini.So tunazalisha taifa tegemezi kama vile tayari tushafanikiwa.Maana kijana yule kumbe angekuwa dactari au hata kipaji kingine ambacho kingekuwa msaada katika jamii.
Mi nliona Wachina wana mtazamo wa mbali sana wanaupeo wa kufikiria Mara elfu moja kuliko sisi.Maana ukizingatia hii Dunia kila mtu Mungu alimuumba akija huku duniani anakuja kuwa nanii.
Maana si kila mtu anaweza kuwa Rais.
Basi nivile tukajua kuwa kama tunaitaji maendeleo basi ni vyema kila mtu kwa nafasi yake akajituma na kuachana na mkumbo wa siasa.
Fikiria pale Kenya ni vipi Damu za watu zingemwagika siku ile Raila Odinga anajiapisha alafu baada ya kipindi kama hiki wanakuja kukaa meza moja na kumaliza tofauti zao.
Na huku muwe mshapoteza ndugu na jamaa na Watoto kwa sababu ya siasa.
So vitu kama hivi hutokuja kusikia kwa nchi kama China au hata Korea.
We kama mtaalam wa miamba na madini siasa ya nini?? Au hata wewe unajua kuwa mwalimu bora siasa ya nini...??
Ni vyema tuu tukajua hata zile kampain na za kila msimu ni useless time hasa ulimwengu huu wa ushindani.
Ni hayo tuu ndugu zangu.
Ninamengi sana ya kulizungumzia hili nikipata muda ntafungua Uzi mzuri kama moderator wakinipa ushirikiano.
Ila tujue kuwa siasa ni moja ya sumu inayo itafuna sana nchi yetu hasa ukipiga maesabu tangu tupate Uhuru. Na kipindi hiki cha miaka amsini ya Uhuru hatuna uthubutu wa kituchochote kitakacho wavutia mataifa tofauti na Mali asili alizo tujalia mwenyezi Mungu.
Nawapenda sana watanzania wenzangu.