Du hiyo ni mbaya labda ni kwamba wapenzi unaotokea kuwapata hawaendani na wewe either unamtaman kimapenz or anakutaman yeye kimapenzi kingin ni huwa unajiwekaje wewe mwenyewe labda appearance yako boy anakuona kama ni muuzaji tu hilo nalo ni tatizo kwenye mapenz