I need relationship advice


Tafuta mchumba uolewe dada
 
Take a break from relationships until you figure out who you are and what you want.

Be honest to yourself.....
 
And remember one thing, women are not polygamous. Do not cheat in your relations.

Better let a man go. A bad CV goes with you to the grave.
I used to ila kwa sasa i don't cheat yani nimekuwa faithful
 
hauko peke yako, kuna wadada wengine wengi tu humu jf ukiona tu comment zao unajua kuwa wanachukia wanaume coz walishawahi kuumizwa kwenye mahusiano yao yaliyopita Curious gal
 
Kwa sasa i don't want a sex partner coz i used to have one naona kama tunachoshana and there is no real love kwa sex partners

Mh ukiendelea ku-expect real love utafeli hlf utaumia zaid keep ur expectations low, n have s*x for fun only ila 2 usipate ukimwi Curious gal
 
I need a woman to marry. N pm mm huenda tukaendana.
 
Pole sana kwa unayopitia , nisehemu ya maisha !, labda nianze kwa kukuliza ,,Umewahi kutafakar ni udhaifu gan ulonao Wenda ndio sababu ya kutodumu ktk mahusiano ? Na unachukua Muda gani kumpata mwanamme baada ya kuachana na X ?? Ni aina gani ya mahusiano unayoyaitaji wewe (Mahusiano kwajili ya ndoa / mahusiano siku ziende ) ?? Na baada ya kuachana nakumpata mwingine Ktk hizo wiki mbili huwa unampa kila kitu ( cookie ) ??

Siwezi kusema wat goz around comes around ,,we are not perfect ,,en we don't look after perfectness ktk mahusiano ,, Wewe ni Mtu mzm naamini Ulijutia na kumuomba Mungu akusamehe kwa ulichowafanyia ,, So wat next ??? .

Majuto yako kamwe yasikupe sababu za kuhalalisha hali ulonayo na kujikuta kila anayekuja mbele yako unamkubalia kwa msingi wakwamba Wenda ukapoteza tena .

Try to be a woman of value ,, work hard ,, value ur self no matter ni mabaya mangapi umeyapitia na umeyafanya so long as umeamua kuyaacha umeyaacha na sasa angalia mbele .

Narudi ktk kilio chako ,, naomba kwanza utambue ni kitu gan unakitafuta ktk mahusiano ,, ikiwa unatafuta mwanamme ili mradi kuonekana nawe upo ktk mahusiano my dear utaishia kulalamika kila siku ...Ni lazima uwe na Aims nimwanamme gan unayemhitaji na nn itakua hatima ya mahusiano yako ,, Nilazima uwe mwanamke mwenye kuficha siri zako hususan suala LA mahusiano ,,Huwezi kua na mtu alafu unaanza kumwambia nmeumizwa sana ,, nmeteseka ,, nashukuru kwa kukupata wewe ,,, Mwanaume ni mtu anayetumia madhaifu yamwanamke kujihakikishia upande wake ,, sasa anapoanza kuyatymia madhaifu hayo ndio hapo unajikuta hakufurahishi namwisho mnaanza magonvi ,,nawanaume wengine hawaishi kukukumbusha mabaya yako ,, utasikia akisema "" peleka uko umalaya wako ndio maana kumbe jamaa alikuacha """ sasa binadam kasumba yetu ni pale mtu anapokukumbusha yanyuma magumu ulopitia ,, kwann msigombane ?????? .

Masela wanapenda wanawake wenye maumbo mazuri lkn wanaume wanapenda Wanawake wenye mioyo mizuri ,,, Sio kila anayekuja kwako ni mwanamme wengine ni masela tu hawa hawadumu na ktk mahusiano hawajui wanachokitaka ,, hawa nirahisi kukimbia Mara wapatapo mzigo ,, Ila Mwanamme anayekupenda yu radhi kukusubiri mpaka wewe mwenyewe utakapoona vema .

Nikushauri ,Kwanza usijione mwenye mkosi au mbaya ,, wewe ni mwanamke mzuri sana , jaribu kua bize na mambo yako ,,jiongezee thaman zaidi ili wakuogope na ktk kuogopwa ndipo ataibuka mwanamme jasiri mwenye kujiamin ,,mkarimu ,mcheshi ,, sex, socially intelligent ,, Nahuyu huwa anatafuta mahusiano ya kudumu , mwenye mipango muda mfupi na mrefu kwako ,, Jiongezee thaman Dada ,,, Psychology inaonyesha Mwanamke aliumizwa kimapenzi mwanamme atakayemtongoza nirahisi sana kumkubalia bila hata kujipa muda wakumjua kwa kisingizio cha kujifariji ,, na kwasababu humjui unaishia kupata magonjwa ya zinaa nakuzidi kujuta zaidi ....Fanya kazi ..jiongezee thaman ,, Jipe muda ,, Atakapokuja mwanamme na ukamwona anakufaa mfanye kua rafiki kwanza ,,mjue mtambue vzuri ,, nahuo ndo utakua mwanzo Wa maisha yenu kamili ,, ila ukicheza na hawa masela aaaahhh watakuliza kila siku nakibaya zaidi thaman ya mwanamke ni dynamic inabadilika ....Jipe thaman Dada ,, usiwe bidhaa rahis ambayo ndio hupata wanunuzi wengi ...Wanaume ni wabaya mno.
 
Sikubaliana na huu ushaur
Mh ukiendelea ku-expect real love utafeli hlf utaumia zaid keep ur expectations low, n have s*x for fun only ila 2 usipate ukimwi Curious gal
Sio poa mm naamin wenye mapenz ya kweli wapo tumia fursa unapoipata usiwe napupa alaf usiwe mjuaji sana cha kufanya ni kuwa mpole kwa mwenzi wako onyesha mapenzi ya dhat mpaka asifikirie kukuacha kumbuka mapenz ya dhat sio ku have sex bali ni kuonyesha upendo kwa njia tofaut .
 
Pole sana but hii kitu nmeiona kwa vidume wengi lakn kwa wadada ndio naiona hapa. Wavulana mara nyingi ndio huwa wanatabia hizo kila anaemdandia anakuwa mzuri for that time only akitoka anamsaka mwingne amcheki naye yukoje hivo hivo mpaka ana dead mvula wa namna hii lakn sio wote
 
Jst give t a break for couples of months fast..... During the process analyse yrslf wht kind a person do u rly lyk..... Dnt rush o put yrslf into smbdy husbd..... Thn try to see wht u hv done wrong thn capitalise on yr mistakes to mek a ryt muv bt in all b open in yr nxt muv
 
Thanks so much kwa ushauri wako......nimependa sana nitafanyia kazi
 
Be blessed.....nitafanya ivo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…