Curious gal
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 3,200
- 4,010
- Thread starter
-
- #41
Kwa sasa i don't want a sex partner coz i used to have one naona kama tunachoshana and there is no real love kwa sex partnersFind a sex partner, someone who you can trust but no string attached, you meet and do the necessary.
Okay thanks for your advicePole sana ila jaribu kubadilika siyo maisha mm mwenyewe natamani sana kuwa na mtu lakini inafika wakati nasitaa cjuwi kwa nn najiuliza yaliyonikita ndio chanzo cha yyte, pia kaa jitafakali cn na jaribu kubadilika
Kwa sasa i don't want a sex partner coz i used to have one naona kama tunachoshana and there is no real love kwa sex partners[/QUOTE
Then you get to see a psychologist my dear.
Am not a good writer mtanisamehe kwa uandishi wangu and am sorry for my inconvenience kutokana na threads zangu tofauti tofauti ambazo wengine uwa hawapendi.
Nimetokea kuumizwa sana na so called relationships na hii naona kama ni punishment kwa kuwa kipindi cha nyuma niliweza kuwaumiza ambao nilidate nao and i didn't care kwa kipindi hicho.....Naomba Mungu anisamehe kwa hili,sikuwa nawaamini wanaume kabisa na mpaka leo hii ila kuna ambao walionesha upendo wa dhati but i didn't pay them much attention......i do regretπ
Nimesema yote haya kutokana na shida nazopata sasa hivi yani nachukia kutafuta wanaumeππ na hata kama ikatokea nikapata boyfriend uwa haizidi kukaa nae for more than two weeksπ na wengi ambao nakutana nao uwa naona wana mambo mengi......nilishacheat sana so najua yupi mkweli na yupi muongo
Wanaume mnapoona msichana anajitolea kukucare muwe mnajiongeza basi na sio kuanza kujiona kama mnapendwa sana na kwamba huyo msichana atakuvumilia kwa chochote.....maybe wapo ila mimi uwa siwezi#i think is one of my weaknessπ
Kinachoniumiza why can't i stay in a relationship longer than two weeks?....
Kwa sasa nadhani nahitaji msaada wa kimawazo
Yani umejuaje nilishawahi kudumu na mtu for 4 faysππYule Boyfriend mliyedumu naye kwa siku Nne alikuwa na kasoro Gani...
Kwa hapo hapana labda mengineAngalia pia maumbile yako ya siri huenda yamepwaya sasa maboy wanakula papuchi na kusepa
Uwa nakuwa committed na uwa nasema kabisa natulia na huyo niliyempataLkn before hizo wiki mbili kuisha pale unapoanzisha hayo mahusiano unakua committed nayo au ni unajikuta unaingia tu ili uwe kama wengine? Lkn hapo hapo psychological umeathirika ndo maana itaendelea kua hivo, kingine usiwe na kiburi cha mapenzi kwamba yeyote utakua nae na kwa wakati wowote lkn pia kuvua vua chupi kwa kila mwanaume kunaweza kukufanya kuukosa umaanza wa mapenzi kwa maana hujali kitu sehemu zako za siri unakua umeshindwa kuziheshimu na umezishusha thamani ndo maana akipita huyu leo kesho mwingine ww kwako no matter.
Sasa nilazima uwe mhanga kwenye hili kwa sababu hizo nilizoainisha lkn pia kuukataa ugonjwa unaougua, wakuamini before kua huyu hali itakua ile ile tu kama wengine.Uwa nakuwa committed na uwa nasema kabisa natulia na huyo niliyempata
I would like to assume you meant to ask what she does for a 'living' and not 'leaving'. Just saying.......................Wot do u do for a leaving?!...jaribu kutoka jichanganye na watu naona kama unaishi kipekeyako
Hahahaaaaa.......hamna mimi sio mjuajiUgonjwa wako ni kukosa anaekukuna vizur ndio mana unawachoka au hao ambao unaishia kuongea nao tatizo wew ni mjuaji na wao pia wajuaji vile vile
Am not a good writer mtanisamehe kwa uandishi wangu and am sorry for my inconvenience kutokana na threads zangu tofauti tofauti ambazo wengine uwa hawapendi.
Nimetokea kuumizwa sana na so called relationships na hii naona kama ni punishment kwa kuwa kipindi cha nyuma niliweza kuwaumiza ambao nilidate nao and i didn't care kwa kipindi hicho.....Naomba Mungu anisamehe kwa hili,sikuwa nawaamini wanaume kabisa na mpaka leo hii ila kuna ambao walionesha upendo wa dhati but i didn't pay them much attention......i do regretπ
Nimesema yote haya kutokana na shida nazopata sasa hivi yani nachukia kutafuta wanaumeππ na hata kama ikatokea nikapata boyfriend uwa haizidi kukaa nae for more than two weeksπ na wengi ambao nakutana nao uwa naona wana mambo mengi......nilishacheat sana so najua yupi mkweli na yupi muongo
Wanaume mnapoona msichana anajitolea kukucare muwe mnajiongeza basi na sio kuanza kujiona kama mnapendwa sana na kwamba huyo msichana atakuvumilia kwa chochote.....maybe wapo ila mimi uwa siwezi#i think is one of my weaknessπ
Kinachoniumiza why can't i stay in a relationship longer than two weeks?....
Kwa sasa nadhani nahitaji msaada wa kimawazo
Wanakuchosha nini haswaKuna kipindi nilikaa almost mwaka ila hata nilivopata ni yaleyale
Sio makosa yako acha nikusamehe bure kabisaHayatuhusu. This is your private business. Absolutely, private.
Yani mpaka naogopaPole sana Dada. Inaonekana uko serious na unaloliongea.
Una umri gani?
Subiria uzeeke zeeke kwanza labda utakuwa na imani na wanaume. Lakini kuna faida na hasara ya imani yako juu ya wanaume. Mwisho utapishana na mkweli utaangukia kwa msanii wa mapenzi.