Curious gal
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 3,200
- 4,010
- Thread starter
-
- #21
Najichanganya sana tena sana sema when it comes to men najikuta siwezi kukaa nao sana kwenye relationshipWot do u do for a leaving?!...jaribu kutoka jichanganye na watu naona kama unaishi kipekeyako
Najichanganya sana tena sana sema when it comes to men najikuta siwezi kukaa nao sana kwenye relationship
Sure you do, if you want to get serious in life, but otherwise you may spoil yourself and have lot of fun, life is short.Nafikiri nahitaji sana treatment maana sio kawaida
Kabisa coz kuna muda uwa nawish kupata boyfriend ili anikeep busy hata usiku kuchart or kuongea nae ila sasa ndo siwezi kuwa mvumilivu kwa kukaa nae kwa muda mrefuThen ur very selective wen t comes to men...halaf hao unaokuwa nao ni sababu u find urself very lonely n ukiflirt na mtu mkishakulana ndio akili inarudi
Hapa umemaliza kila kitu mkuu sababu hata mimi nimewahi kuwa hivyo na watu wengi wa hivyo huwa wanaogopa kuumizwa so to protect their feelings wanafanya vitu vya ajabu na hawadumu kwenye mahusiano.Sound serious, you need to see a psychologist. Mtu mzima wa kawaida hawezi kuwa na hali kama yako, kuna kitu labda umekiona kwa watu wako wa karibu kimekufanya uwe reserved. What you are doing is to protect your feelings, unaogopa kuumizwa something like that. Una hitaji professional advise and treatment.
Kabisa coz kuna muda uwa nawish kupata boyfriend ili anikeep busy hata usiku kuchart or kuongea nae ila sasa ndo siwezi kuwa mvumilivu kwa kukaa nae kwa muda mrefu
Nitajitahidi kufanya ivo maana nimechoka sana kuhangaikaSure you do, if you want to get serious in life, but otherwise you may spoil yourself and have lot of fun, life is short.
Yah kasoro mimi tuUr friends are in relationshps?!
Yah kasoro mimi tu
Nitafanya ivo lovedont rush to sex after baada ya kuanza mahusiano
Kuna kipindi nilikaa almost mwaka ila hata nilivopata ni yaleyaleJipe muda inaonekana unahitaji sana mpenzi hivo yoyote anaekatiza mbele yako unadhani anakufaa kumbe sio.... Ndio maana haudumu nao
Find a sex partner, someone who you can trust but no string attached, you meet and do the necessary.Nitajitahidi kufanya ivo maana nimechoka sana kuhangaika
Hapana sijawahi kufanya ivo......uwa naogopa sanaAnd they av tried to hook u up wit friendz of their bf's?!
Dont go for that...u wil nvr get the guy u wnt
Hapana sijawahi kufanya ivo......uwa naogopa sana