I need my Mr. Right

Here I am,
 

WEKA PICHA MKUU,
YUPO MWANA HUKU MTAANI NAYE ANATAFUTA MKE MWENYE MASTER'S PIA.
 
We moniccca umetembea na vijana wangapi wa bongo fleva? Je wewe ni changu, unajichubua, una kitambi zembe, mnafiki, mchafu, unanuka kwapa na mdomo, chini kusafi, mbea, una kizazi safi maana wengine tunataka watoto. Julisha haya tafadhali.
 
ndiyo naingia jf now nakutana na thread hii kama bahati vile ni pm tafadhali niko serious vigezo vyote ninavyo kasolo kimoja miye sio mwanaume wa dar
 
ndiyo naingia jf now nakutana na thread hii kama bahati vile ni pm tafadhali niko serious vigezo vyote ninavyo kasolo kimoja miye sio mwanaume wa dar
Use stated language please
 
 
We
Duuuh! Uliyetumia naye ujana wako kafariki au imetokea nini??? Watakuja wenzako waliofuja ujana wao mkashare msiba...
Kama ni mtoto wa miaka miwili humu kwa wazee inatafuta nini, mxiuuuuuu nenda kwa watoto wenzio ukacheze
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…