LadyRed
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 9,636
- 11,466
So umemkinai mkeo pia?.Hii hali hata mimi niko nayo nakuwa natamani sana wanawake wa aina tofauti tofauti na nikimpata mwanamke nikamvua nguo mara 1 simtamani tena nahitaji mwingine tofauti.
Siku za nyuma nilijua labda ni kwa vile sijaoa.
Lakini badae nikaoa na ndio kwanza ile hali inazidi kuongezeka.
Sent using Jamii Forums mobile app