Vipi mkuu wewe ulishapata wako mchumba a.k.a mke hapa JF si unaona washindani wako wanaongezeka, nakumbuka na wewe ulishamwaga sera kama hizi siku kadhaa zilizopita
Kumbe hamjaexchange mapasswords? lol ila huyo jamaa hajatenda haki eti anaetaka kuolewa aandike historia yake tena page mbili mbona yeye hajaandika background yake!
Requirements 1.Write two pages giving ur historical background and explain how will u manage your future family 2.Attach ur three photos. If u are serious and have the above qualifications kindly send email to husbandtobe@rocketmail.com responding to the above requirements.
Nasikitika am over-qualified that means CV yako pia itakuwa ndogo sana na wala huwezi uka-fit ktk anga zangu.
Labda uangaze angaze ktk mazingira ya vyuo.