James carter
Member
- Jan 17, 2013
- 24
- 1
Tuliongea na dame fulani na baada ya siku mbili ananiambia nimtumie 2000 fare is this gal for real
Babu 2000 ndo unalalamika ivo, acha ubahili starehe gharama
Mkuu, uwekezaji wa Buku Mbili unalalamika, haya subiri vya bure kama bado vipo.