yap am serious,,its fine, how can i contact you in private?
Thread closed!
Khaa!
Kimodo! Umekuaje leo?
Mtu anajitafutia kitasa, mara wamfungia Uzi ! Kulikoni ?
Afu huo m'funguo wake aufenyeje?
Kipipi naona kama vl leo umeamka na maga'zabu au?
kipipi mwambie huyo mie nimeshajitokeza na uzi umeshafungwa.
Yawezekana ni kweli Nambe, ila baada ya kusoma comment yako mie nilijikita zaidi kwenye avatar na signature yako! Jamani Nambe....why ka avatar ka kulia machozi mpenzi? Nahisi kama kananichoma vile...
My dear Kipipi, at childhood
"We cry loudly to get what we like"
But now
"When we grown up,
We cry silently to forget what we like"..!
Mambo si ndo hayo sasa......
felinda mdogo wangu kajitokeza bila hata hiyana!
We judgement kama kuna mtu unataka kumpigia debe.......mmechelewa!
hapo malike kibao.......na ninamalizia kwa kukuchumu mwaaaaaaaaaa!!!!
Thank you baby girl .......:hug:
BTW; huyo mchuchu katokomea wapi wajameni.....au ndo mshaelewana kimya kimya??
mambo ya PM..
Nice one felinda...
But...hata kunitonya mpendwa wangu..hakuna hadi naulizia?? lol
Anyways....good luck dearest! :A S-heart-2:[/QUOTE
bac uclalamike swty girl...sawa bibie? anyway thnkx!!!
Haina noma mpendwa wangu.....
Nyie endeleeni tu kufurahi mwaya!