I need a father figure Psychologist

Lazima awe psychologist? Akitokea mtu tu mbaba wa makamo na volunteer kusimama kama baba yako vipi?
 
Pole sana ndugu Godwin peter,

Mimi siyo msaikolojia, kwa hiyo mchango huu ni wa mpitanjia mtandaoni. Nakushauri uende mahali walipo wanasaikolojia wanasihi waliosajiliwa waweze kukupa ushauri stahili.

Maandishi yafuatayo yanajaribu kuweka suala la kukosa baba kwenye muktadha. Baadhi ya maandishi yanaweza kuwa yanaudhi, yasiwe na uhalisia, yasiende na hali uliyonayo, lakini si vibaya kuangalia maandishi. Mengine yana mrengo wa kidini, au kihafidhina. Na kwa kuyaweka hapa, haina maana kwamba ninakubaliana nayo.


1. The Garbage Generation. The Garbage Generation: On the Need for Patriarchy
Hiki kitabu kimeandikwa na Padri wa Kikatoliki, kwa hiyo kinaelemea mawazo ya imani ya Kikatoliki, inayohamasisha malezi ya baba na mama. Kitabu hiki kinaelezea madhara, hasa kwa jamii, ya kukosekana kwa baba kwenye familia.

2. Father Absence, Father Deficit, Father Hunger Father Absence, Father Deficit, Father Hunger
Bandiko kwenye mtandao wa Pyschology Today. Linaelezea hisia za pengo lisilozibika kwa waliokua bila baba.

3. Men's Unresolved Father Hunger https://www.tandfonline.com/doi/abs/10.1300/j085v07n04_03?journalCode=wjfp20
Bandiko la kitaaluma kwenye jarida la Journal of Family Psychotherapy Volume 7, 1996 - Issue 4.

4. Absent Fathers: Effects on Abandoned Sons http://citeseerx.ist.psu.edu/viewdoc/download?doi=10.1.1.1030.5399&rep=rep1&type=pdf
Chapisho linaloelezea taabu wanayoipata wavulana waliokulia kwenye familia zisizo na baba.

5. Dad and Me - Research into the problems caused by absent fathers. http://www.sakkyndig.com/psykologi/artvit/glynn2011.pdf
Chapisho la Uingereza.

6. Father absence and its influence on child and adolescent development: a case report. Father absence and its influence on child and adolescent development: a case report
Chapisho la kitaaluma.

7. Father absence. Father absence - Wikipedia
Chapisho la Wikipedia.


Edits:

Raising Fatherless Boys

How does a father's absence affect a child? Do sons and daughters react to it differently? - Quora

Why Teenage Boys? - Boys To Men Mentoring Network

Further Edits:


‘I am a daughter of a mother who alienated me from my father, erasing him from my life. My story is never told, the story that gets ignored.’: Woman details the effects of parental alienation




 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…