I miss you!!!

Napata maswali mengi kichwani mwangu! Mpenzi wako akikwambia nimekumis huwa anamaana gani? Maanake most male partners wanadhania kugegedana 2! Nisaidie wana jf!

Mada zingine zinachosha sana. Ni kitu gani hakieleweki hapo? I miss YOU! YOU means mtu mzima na kila kilicho mwilini ikiwemo dushelele au K, vitendo, maneno nk
 

Kila la heri rafiki katika kusubiri Wanaume wapite mtaa huu kukata kiu yako....Wasalimie wote uwapendao.



yaani hapa sitoki mpaka Wanaume waje watuambie wakiambiwa I miss u wanawaza nini, lol!
 
Last edited by a moderator:
I miss you does not neccesariry mean desire to have sex;it can mean the willingness to be together.
 
Napata maswali mengi kichwani mwangu! Mpenzi wako akikwambia nimekumis huwa anamaana gani? Maanake most male partners wanadhania kugegedana 2! Nisaidie wana jf!

Tafsiri hilo neno kuja lugha yako ya taifa labda utaelewa...
 
Napata maswali mengi kichwani mwangu! Mpenzi wako akikwambia nimekumis huwa anamaana gani? Maanake most male partners wanadhania kugegedana 2! Nisaidie wana jf!

A stronger meaning for "I miss You" would be that someone wishes that you were around; feeling of a void without you; I need you in my life, around me; fond memories about someone you care about or love dearly.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…