I miss you!!!

zanzsco

Senior Member
Joined
Aug 21, 2011
Posts
161
Reaction score
45
Napata maswali mengi kichwani mwangu! Mpenzi wako akikwambia nimekumis huwa anamaana gani? Maanake most male partners wanadhania kugegedana 2! Nisaidie wana jf!
 
yaani hapa sitoki mpaka Wanaume waje watuambie wakiambiwa I miss u wanawaza nini, lol!

when mshua tells you "miss you" what impression do you get? use the impression to continue waiting . .. . for men's answers
 
mwenzangu mimi hata sijui kidhungu..... ndo umesemaje hapa?
 
Napata maswali mengi kichwani mwangu! Mpenzi wako akikwambia nimekumis huwa anamaana gani? Maanake most male partners wanadhania kugegedana 2! Nisaidie wana jf!

Huwa namaanisha vile unavyofikiria wewe.
 
mwenzangu mimi hata sijui kidhungu..... ndo umesemaje hapa?

Mbona miss you unaijua? Nasema kama baba yako akikuambia miss you unapata mawazo gani? sasa mawazo unayopata tumia kusubiria wanaume waje wakwambie. Mimi huwa nikiambiwa miss you najua sijaonekana kwake muda kikawaida.
 
nilitaka tu kujua kama unajua kiswahili, lol!
maana umeingia na mkwala wa kidhungu nikajua kiswahili hakipandi,
got you, lol!
 
yaani hapa sitoki mpaka Wanaume waje watuambie wakiambiwa I miss u wanawaza nini, lol!

ngoja nifike eneo la kujidai af nisongeshe mada. si unajua nina maslahi binausi na hii phrase
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…