I Miss You

Nazjaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
7,802
Reaction score
9,281
Yes. Namaanisha wewe na comments zako hapa jamvini.
Much love and respect
 
hahaha thanks, karibu, ulikuwa likizo?
 
hahaha thanks, karibu, ulikuwa likizo?

nilikuwa kwenye mzigo wa kufunga na kuomba.
Tangu ninusurike nimekuwa mtu wa maombi sana
 
Umemwona na huyu mwingine hapa chini? Hebu ntafutie adhabu yake. BTW pole naona Igunga wameichakachua demokrasia ya siasa.

:ban:

bahati yako nipo matenite.....
 
Umemwona na huyu mwingine hapa chini? Hebu ntafutie adhabu yake. BTW pole naona Igunga wameichakachua demokrasia ya siasa.

:ban:
Huyo preta msamehe vile ni kosa lake la kwanza... Aisee ya Igunga haipoi... Inauma sana! Jana nimelala sa 9 usiku afu sa hizi nipo kwa mkoloni bt NO USHINDI.. Hebu fikiria ntapoaje jamani?!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…