I miss You Paka Jimmy

Nyumbu-

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
987
Reaction score
356
PakaJimmy where are you? Sijakuona muda kwenye uchangiaji, umebadili ID ?
cc Ngongo
 
Last edited by a moderator:
Dah, halafu unaweza kukuta kuna wanaJF wanakufa kimyakimya simaanishi paka jimmy.
 
Kweli lakini PakaJimmy kapotea sana unajua baada ya kuona bandiko lako Nyumbu ndio nikarudisha memory ya huyu mdau wa mkubwa wa Arusha.Unaweza kuta kashachukua fomu ya kugombea ubunge wa Arusha kimya kimya.
 
Last edited by a moderator:
Kweli lakini PakaJimmy kapotea sana unajua baada ya kuona bandiko lako Nyumbu ndio nikarudisha memory ya huyu mdau wa mkubwa wa Arusha.Unaweza kuta kashachukua fomu ya kugombea ubunge wa Arusha kimya kimya.

Yes, huyu jamaa alikuwa mchangiaji maarufu humu, na tunafahamiana. Sasa nimepoteza mpaka contact zake, na huku simwoni. Labda wadau wa Arusha mnaweza kumtrace maana nakumbuka Ngongo na yeye mlikuwa mnachangamsha sana ukumbi pamoja na arusha1
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli mkuu wangu habari za Mwanza.

Yes, huyu jamaa alikuwa mchangiaji maarufu humu, na tunafahamiana. Sasa nimepoteza mpaka contact zake, na huku simwoni. Labda wadau wa Arusha mnaweza kumtrace maana nakumbuka Ngongo na yeye mlikuwa mnachangamsha sana ukumbi pamoja na arusha1
 
Haaa haaa mwaka huu na mimi nataka kuitwa Mheshimiwa Ngongo so wapiga kura wangu wakihamia mikoa mingine nawafuatilia kwa karibu sana.Mkuu wangu wakati wa kuandikisha daftari la wapiga kura tafadhali rudi Arusha kura yako na Mama muhimu sana.

Duh, Mkuu unatisha......??????
 
Ngongo Richama gani? nitakuja kukupiga tafu mkuu, bado jina langu liko huko.....
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…