Heheheeee ndoa nyingi zingekuwa hatiani ikiwemo ya Asprin lolLaiti waume zetu au wake zenu wangejua ID zetu na Majina tunayoitana humu CC,
Wote tungekuwa tumerudishwa Makwetu.
:focus: Amekusikia.
Heheheeee ndoa nyingi zingekuwa hatiani ikiwemo ya Asprin lol
Nimekukumbuka babu....! Najua uko kijijini umeanzisha bishara ya kuuza mbwa sawa!
View attachment 65842
C6 najua una wivu sana ila kumbuka nilikuja mwenyewe ila na ma wife Amyner wivu ukamjaa nae ndio nimetoka kumpokea Airport sasa hivi so achana na wivu relux meeeen!
Mwambie charminglady akiweza aje akae na wifi yake baadae baada ya kupumzika kidogo.
Otherwise ona albam yetu hapo chini
View attachment 65840
Laiti waume zetu au wake zenu wangejua ID zetu na Majina tunayoitana humu CC,
Wote tungekuwa tumerudishwa Makwetu.
:focus: Amekusikia.
yani shosti talaka nje nje
Ngoja nikutafutie wa kukupa farajaHuko mbali sana mshua, suicide is far away from Mphamvu...
Yani acha tu shoga.
Tena Talaka Tatu Potea.
Maana wanaume wetu wa Kiswahili hawa,wana Gubu hao!!
Ngoja nikutafutie wa kukupa faraja
Yani acha tu shoga.
Tena Talaka Tatu Potea.
Maana wanaume wetu wa Kiswahili hawa,wana Gubu hao!!
mpenzi wangu mama kijacho charminglady naona huku maisha yamekua magumu coz nakumiss mbaya.. nimesikia kuwa Erickb52 kusikia nmesafiri kajileta, nitunzie penzi langu..maana sio kila kitu ni cha kushea..
niko huku nahangaika ili kijacho afurahie maisha...nakupenda sana lazizi, nakukosa sana tu
Acha basi kashfffa!
Wazungu hujawaona ?
Tunawastirini mshahara wetu kashfa !
Afu weyee!