Si chaugonjwa nahisi nimepaliwa
Lala ukue....sisi wakubwa tu ndo tunaruhusiwa kuwa macho muda huu
Sio mbaya ngoja nimwite Honey Faith akusaidie kufukuza mbu
Hahaha kipimo cha ukubwa ni nini?Namiliki mume atiii so mie mkubwa
Alale tu kwenye chandarua kilichowekwa dawa ya ngao mbu hawatamsumbua
Mhhhhh?????koh koh koh kikohozi hiki...........
Sio mbaya ngoja nimwite Honey Faith akusaidie kufukuza mbu
Ungekuwa na mume usingekuwa unambwela mpaka sasa hivi hum ndani otherwise umemweka kwenye chupa
hhahaha poleeeee hujawazoea tu hao
ahhha sawa ila natumai ujumbe wangu umemfikia
Wana drama zaidi ya kina mama ubaya
hahaha wanataka kuigiza movie wenzio
Hata mie naona maana mhhhh???
Huyu mzee wa nini... Asprin hebu nope Mimi Huyu mamaafacebook...