Mi nimekudhamiria weye huyo mamaafacebook
Kihelehele tu......!?!?!
Ahhhha mbona unamtahariza.hivo
Mmmh ngoja nilale mie...na ukikuta nmelala marufuku kunigusagusa
Yeye kasema ni mchepuko wa Asprin wa kudumu sasa atulie na Mimi nichepuke na wewe mamaafacebook
Naenda kulala chumbani kwa Housegirl...! Usinifate huku nikilala....!
Kaamua tu kujifariji ila sio kweli
Hata ukisema nitoke kabisa nisilale ndani sawa tu....
Nakuja tulale wote bby....!
Hata ukisema nitoke kabisa nisilale ndani sawa tu....
Mhhhhh?????koh koh koh kikohozi hiki...........
Angalia unavyonyenyekewa hebu mkakojoe mkalale ati usiku mwingi huu
Kapime..