@ Excel ya kweli haya..??usiongee na miss neddy huyo hadi mumewe kamshindwa ongea na mimi! mchonganishi huyooo
hahahaha mi ndo ndugu yako wa damu kabisa angalia usije ukanianika juani siku moja lol
Mbona unanichanganya we una wake wangap kwani? Au kila she jf mke wako?
@ Excel ya kweli haya..??
Usijihami...usihofu pia...
hahahaaa! mkuu ndoa ina pande saba siku hizi bwana, ukiona nampa za uso miss neddy usidhani tumeshindwana! Eshy m.s alipotelea wapi kwanza?
Men speak the most lies..women speak the biggest lies
.
umemuuza wapi ladyniece kwanza?
huyo the so called your wife alishanikrash nikammezea, nilijua umerudi nae...
hahahha akijichanganya anga zako weka historia yake hapa jf lol
hahahaaa! mkuu ndoa ina pande saba siku hizi bwana, ukiona nampa za uso miss neddy usidhani tumeshindwana! Eshy m.s alipotelea wapi kwanza?
kwanini aonekane siku moja na Mndengereko? lol.. think Tyta! think..!
miss neddy malikia wangu, hivi ikitokea sipo kwa muda usiojulikana, hivi utaolewa tena au utakaa mpaka nirudi?
hahahhaha hutabirikagi wewe
Hahaha usharidhika sasa maana naona unantafuta muda tu.,na unachokitafuta karibia utakipata
Huyu Mndengereko tutamrudisha kwao Rufiji bila malapa..
Hahaha usharidhika sasa maana naona unantafuta muda tu.,na unachokitafuta karibia utakipata
Si bure kuna aliyekutuma ww
haikuhusu ulitaka kuchepuka kwa mndengereko sasa hivi
we!we!
WE!
unamfahamu miss neddy vizuri? she is my queen, ukimyooshea kidole tu, umenyooshea ufalme mzima nikiwemo mimi mimi!
watch that...! lol..