I miss MMU and JF in general

dada huyo jamaa kafulia vibaya mno hata siku alikuwa hana...

Dah siamini kama kaka na wewe unaweza kunichafua,kweli waarabu wapemba hujuana kwa vilemba,nyie wote wachaga so mindset zinafanana
 
Nimekumiss sana.Jamani utafiti umemficha wapi?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mndengereko karibu tena Mkuu! Nakosa namna ya kuweza kuelezea furaha Yangu kwa kukuona umekuja tena! Niseme tu sisi tupo ila ukimuona Khantwe popote pale Fahamu kua huyo Ni Shemeji yako!

Karibu sn!
 
Last edited by a moderator:
hahaha ukitaka kuijua toa offer ya soda afu unanimiss katikati ya sred hukuniwaza hata staki
miss neddy jamani usinifanyie hvyo mtoto wa mwenzio,mi na wewe hatujakutana barabarani loh!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mndengereko karibu tena Mkuu! Nakosa namna ya kuweza kuelezea furaha Yangu kwa kukuona umekuja tena! Niseme tu sisi tupo ila ukimuona Khantwe popote pale Fahamu kua huyo Ni Shemeji yako!

Karibu sn!
Dah naona mageuzi makubwa sana,hongera mkuu kwa kuuacha u bachela Khantwe nilikutana nae jana ila hakujitambulisha labda alikuwa ananionea aibu.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…